NY TV
NY TV
  • Видео 2 941
  • Просмотров 14 122 459

Видео

IBADA MAALUM YA WATOTO KANISA LA TAG MBEZI LUIS GALILAYA
Просмотров 2287 часов назад
Ibada Maalum ya watoto Kanisa la TAG Mbezi Galilaya
SIKILIZA VIONJO VYA WIMBO WA KIMASAI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG JIMBO LA ARUSHA KATI
Просмотров 20412 часов назад
Wimbo wa kimasai ulio imbwa siku ya maadhimisho- jimbo la Arusha kati
KAULI YA ASKOFU MKUU WA TAG KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI YA MITAA MPAKA URAIS
Просмотров 1,3 тыс.16 часов назад
Kauli ya Askofu Mkuu wa TAG kuhusu chaguzi za Srikali ya Mtaa hadi urais
TAZAMA MASS KWAYA YA WATOTO JIMBO LA ARUSHA MASHARIKI ILIVYO FANYA VIZURI KWENYE MAADHIMISHO
Просмотров 50221 час назад
Tazama Mass kwaya ya watoto Jimbo la Arusha Mashariki walivyo fanya vizuri katika Kilele cha Maadhimisho katika jimbo lao
# PART.2# HII NDIYO LISHE NA DAWA YA KUPONYA NDOA YAKO
Просмотров 581День назад
Hii ndiyo lishe na dawa ya wana ndoa, wenye Ndoa kongwe
WANA ARUSHA WA JIMBO LA MASHARIKI WAFUNGA BARABARA
Просмотров 594День назад
Wana Arusha wa Jimbo la Mashariki wafunga barabara kwa Maandamano ya kuadhimisha miaka 85 ya TAG
#ARUSHA# MSASA MKALI WA SEMINA YA NDOA ZA WACHUNGAJI
Просмотров 1,6 тыс.День назад
Semina ya Ndoa ya Wachungaji iliyofanyika jijini Arusha Bethel Kijenge
TAZAMA MAANDAMANO YA JIMBO LA ARUSHA KATI YALIVYO ONGOZWA NA BRASS BAND MAALUM YA JESHI LA POLISI
Просмотров 876День назад
Tazama Maandamano ya jimbo la Arusha Kati yalivyoongozwa na brass band Maalum ya jeshi la Polis
#PART.7# HITIMISHO YA NJIA KUMI AMBAZO UTUMIWA NA MUNGU KUWASILIANA NA MWANADAMU
Просмотров 400День назад
Hitimisho ya njia kumi anazo tumia Mungu kuwasiliana na Mwanadamu
#PART.6# NJIA KUMI ANAZO TUMIA MUNGU KUONGEA NA MWANADAMU
Просмотров 902День назад
Njia kumi anazotumia Mungu kuzungumza na mwanadamu-Mchungaji Dr.Jonas Michael
SIKILIZA USHUHUDA WA MREMBO HUYU ALIYE ZALIWA AKIWA NA JINSIA 2 (KE NA ME) KISHA KUTENGWA NA FAMILIA
Просмотров 60514 дней назад
Sikiliza ushuhuda wa Binti aliyezaliwa akiwa na jinsia mbili yaani wa kike na kiume
MKURUGENZI WA VIJANA ARUSHA KATI ATOA ANGALIZO KWA VIJANA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KABLA YA KUOA
Просмотров 26414 дней назад
Mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuoa-Mkurugenzi wa Vijana jimbo la Arusha Kati
#ARUSHA# ALIYE PIGA MAGOTI NI ASKOFU WA JIMBO LA ARUSHA KATI AKIONYESHA MFANO KATIKA JIMBO LAKE
Просмотров 61414 дней назад
#ARUSHA# ALIYE PIGA MAGOTI NI ASKOFU WA JIMBO LA ARUSHA KATI AKIONYESHA MFANO KATIKA JIMBO LAKE
WAFAHAMU WALIMU 16 WALIO FUNDISHA CHUO CHA BIBLIA CHA CBC DODOMA CENTRAL BIBLE COLLEGE
Просмотров 28414 дней назад
WAFAHAMU WALIMU 16 WALIO FUNDISHA CHUO CHA BIBLIA CHA CBC DODOMA CENTRAL BIBLE COLLEGE
KAZI KUBWA ZILIZO FANYWA NA JIMBO LA ARUSHA KATI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG
Просмотров 44614 дней назад
KAZI KUBWA ZILIZO FANYWA NA JIMBO LA ARUSHA KATI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG
#DODOMA#LIFAHAMU JIMBO LA KWANZA KUWA NA MWANGALIZI MWANAMKE
Просмотров 1 тыс.14 дней назад
#DODOMA#LIFAHAMU JIMBO LA KWANZA KUWA NA MWANGALIZI MWANAMKE
KWAYA MBALIMBALI ZILIZO IMBA KWENYE MKESHA WA VIJANA TAG CALVARY TEMPLE ARUSHA
Просмотров 13114 дней назад
KWAYA MBALIMBALI ZILIZO IMBA KWENYE MKESHA WA VIJANA TAG CALVARY TEMPLE ARUSHA
MKESHA MKUBWA WA VIJANA JIMBO LA ARUSHA KATI
Просмотров 10214 дней назад
MKESHA MKUBWA WA VIJANA JIMBO LA ARUSHA KATI
TAZAMA IGIZO LA WACHUNGAJI WANAFUNZI LILILOBEBA UJUMBE MZITO WA WAASISI WA TAG
Просмотров 50814 дней назад
TAZAMA IGIZO LA WACHUNGAJI WANAFUNZI LILILOBEBA UJUMBE MZITO WA WAASISI WA TAG
MKUU WA CHUO CHA CBC ATOA UFAFANUZI KUHUSU MDAHALO ULIOFANYIKA KATIKA CHUO CHA CBC DODOMA
Просмотров 37214 дней назад
MKUU WA CHUO CHA CBC ATOA UFAFANUZI KUHUSU MDAHALO ULIOFANYIKA KATIKA CHUO CHA CBC DODOMA
SIKILIZA MASWALI MAZITO YALIYO ULIZWA NA WANA CHUO KUHUSU UHALALI WA KUWASIMIKA WANAWAKE
Просмотров 38 тыс.14 дней назад
SIKILIZA MASWALI MAZITO YALIYO ULIZWA NA WANA CHUO KUHUSU UHALALI WA KUWASIMIKA WANAWAKE
PROF.NYANDA;JE NI SAHIHI KUSIMIKA WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI?
Просмотров 2,2 тыс.14 дней назад
PROF.NYANDA;JE NI SAHIHI KUSIMIKA WANAWAKE KUWA WACHUNGAJI?
WANAFUNZI WAULIZA MASWALI MAZITO KWA PROF.HAMULI-MOJAWAPO YA SWALI ZITO LILILO ULIZWA NI HILI
Просмотров 2,3 тыс.14 дней назад
WANAFUNZI WAULIZA MASWALI MAZITO KWA PROF.HAMULI-MOJAWAPO YA SWALI ZITO LILILO ULIZWA NI HILI
UWASILISHAJI WA HOJA NZITO KUHUSU MWENYE UHALALI WA KUMHOJI MCHUNGAJI KUHUSU MALI ZA KANISA NI NANI?
Просмотров 1,7 тыс.14 дней назад
UWASILISHAJI WA HOJA NZITO KUHUSU MWENYE UHALALI WA KUMHOJI MCHUNGAJI KUHUSU MALI ZA KANISA NI NANI?
MASWALI MAZITO YALIVYO JIBIWA KWA UFASAHA NA PROF.NIGULA
Просмотров 7 тыс.14 дней назад
MASWALI MAZITO YALIVYO JIBIWA KWA UFASAHA NA PROF.NIGULA
UTAFITI WA PROFESA IMMACULATE NIGULA KUHUSU LAANA ZA MABABU NA MILA NA DESTURI
Просмотров 2,7 тыс.14 дней назад
UTAFITI WA PROFESA IMMACULATE NIGULA KUHUSU LAANA ZA MABABU NA MILA NA DESTURI
#PART.2# USHUHUDA WA KUSIKITISHA APOFUSHWA MACHO YAKE YOTE MAWILI NA MADAKITARI WANAFUNZI
Просмотров 29514 дней назад
#PART.2# USHUHUDA WA KUSIKITISHA APOFUSHWA MACHO YAKE YOTE MAWILI NA MADAKITARI WANAFUNZI
KWA MARA YA KWANZA MDAHALO HUU KUFANYIKA CBC DODOMA JE KUSIMIKA WANAWAKE NI SAHIHI KIBIBLIA?
Просмотров 16314 дней назад
KWA MARA YA KWANZA MDAHALO HUU KUFANYIKA CBC DODOMA JE KUSIMIKA WANAWAKE NI SAHIHI KIBIBLIA?
MAMA MCH.ATOA SIRI KUHUSU YALIYO MPATA AKIWA MJAMZITO KWENYE MAPITO YA MSUKOSUKO WA KANISA
Просмотров 36814 дней назад
MAMA MCH.ATOA SIRI KUHUSU YALIYO MPATA AKIWA MJAMZITO KWENYE MAPITO YA MSUKOSUKO WA KANISA

Комментарии

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 Час назад

    Kama kuna jambo linatusumbua kwenye kanisa la waadventista wasabato ni hili swala la kusimika wachungaji wanawake, limetugawa kati kati, wengine wameamua kujitenga na kanisa na kwenda kufanya reformation wanaitwa wanamatengenezo, na ukiwasikiliza wakijenga hoja unaona kabisa wanahoja za kibiblia kabisa, na waliolileta hili fundisho la kuwa na wachungaji wanawake nao wanatafuta tafuta vifungu vya kuunga mkono hoja zao wanaonekana wako sahihi pia mbele ya watu wanaotaka jambo hili, kwakweli ni shida, kumbe na kwenu hii kitu inawachanganya eeeh.!!

  • @RajiTarie-d5c
    @RajiTarie-d5c 2 часа назад

    Ameen

  • @MerryKashaija-jk9xh
    @MerryKashaija-jk9xh 8 часов назад

    AMEEN

  • @nazirimassawe-fm8eh
    @nazirimassawe-fm8eh 18 часов назад

    NINASIKIYIKA SANA JINSI HUYU Baba ANAKOSA BUSARA KUTAJA MAKANISA YA WATU HOVYO KUYAKOSOA KAMA VILE YEYE YUPO SAHIHI SANA NI HIVI MWANAMKE AKISIMAMA KUTAWALA SEHEMU ZAIDI YA MWANAUME AIDHA KATIKA KANISA AU UONGOZI TAIFA HILO AU SEHEMU HIYO IPO KATIKA HUKUMU YA MUNGU UKISOMA WAAMUZI KUUSU DEBORA ,WAKATI WA UAMUZI WAKE DEBORA ,,TAIFA LA ISRAELI LILIKUA KATIKA HUJUMU YA MUNGU.YAANI LINAADHIBIWA KWAHIYO BIBLIA INANIAMBIA KUWA HUKUMU HII YA MUNGU INAMUAMBIA MWANAUME," NAYE ATAKUTAWALA JUU YAKO" KWASABABU SI KAWAIDA MWANAMKE ATUTAWALE WANAUME HIVYO NI HUKUMU YA MUNGU SI KAWAIDA.SOMENI NENO SI KWAAJILI YA KUKOMOANA BALI KUISHI KWA USAHIHI.HUYO AMESHIBA MAKANDE TU

  • @victorkalolo5350
    @victorkalolo5350 19 часов назад

    Mm huyu mwalim sjapataga kumuelewa hata sku moja

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 День назад

    Amiina and amen

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 День назад

    anafundisha ambacho biblia haifundishi

  • @furahinimrutu3085
    @furahinimrutu3085 День назад

    kama hawa ndio walim wa biblia tumekwisha

  • @LevisOdongi
    @LevisOdongi День назад

    Hadi mimi pia

  • @user-hg7np4ig9o
    @user-hg7np4ig9o День назад

    Wewe ndiyo ulifundishwa vibaya sisi tupo huko na tunampenda Yesu na walokole tunawapenda

  • @user-ny2ke2ou8k
    @user-ny2ke2ou8k День назад

    Karibu mombasa

  • @EstherJulius-cv9tk
    @EstherJulius-cv9tk День назад

    Mh kweli tag mungu ameiweka izidi kuwa Bora zaidii juuu EE MUNGU WANGU KIPENZI BARIKI WANA TAG

  • @EstherJulius-cv9tk
    @EstherJulius-cv9tk День назад

    Mh kweli tag mungu ameiweka izidi kuwa Bora zaidii juuu EE MUNGU WANGU KIPENZI BARIKI WANA TAG

  • @EstherJulius-cv9tk
    @EstherJulius-cv9tk День назад

    Mh kweli tag mungu ameiweka izidi kuwa Bora zaidii juuu EE MUNGU WANGU KIPENZI BARIKI WANA TAG

  • @EstherJulius-cv9tk
    @EstherJulius-cv9tk День назад

    Mh kweli tag mungu ameiweka izidi kuwa Bora zaidii juuu EE MUNGU WANGU KIPENZI BARIKI WANA TAG

  • @EstherJulius-cv9tk
    @EstherJulius-cv9tk День назад

    Mh kweli tag mungu ameiweka izidi kuwa Bora zaidii juuu EE MUNGU WANGU KIPENZI BARIKI WANA TAG

  • @jackswat
    @jackswat День назад

    Theology at its best on high error!!! "Elimu ya Mungu ni progressive" -😮!! Meaning that it is growing & it requires updates, because it gets old!!!! 😂😂 HAYA MAFUNDISHO YA KITAFITITAFITI KWA AKILI ZA WATU HAYAWEZI KUELEWA KWELI YA MUNGU... ni ya hatari sana... “Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. ” - 1 Wakorintho 2:14 Kuhusu Miriam au mwanamke mwingine yeyote aliyetajwa kwenye maandiko hakuna aliyebadili naafasi yake ya usaidizi kwa mwanaume... WOTE WALIKUWA WAKIWASAIDIA WANAUME!! Ni hatari sana kutumia ...rare passages in the bible.. ili kubadilisha MPANGO WA MUNGU kwa mwanadamu. Hili siyo swala la HUMAN RIGHTS - kwamba ni maoni ya mwanadamu anapenda nini! Hapana - hapa linaongelewa swala la HAKI YA MUNGU - kwamba Yeye anataka nini kwetu. Matatizo yote duniani yanasababishwa na kuingilia na kuvuruga mpango wa Mungu, Ona: - Demokrasia ilivyoingilia mpaka maisha ya kifamilia (equal rights) - sasa huko ughaibunu wanawake wanataka kubaki bila ndoa!!! - Hiyo hiyo haki ya binadamu sasa tunahangaika na USHOGA!! watu hawajali tena habari ya jinsia. NOTE: Leo Prof. Anafundisha kukubaliana na hili, kesho atakuja mwingine na kusema WAPI MAANDIKO YAMESEMA MWANAMKE HAWEZI KUJITAMBUA KAMA MWANAUME!!! HIZI NI MBINU ZA UASI ZA SHETANI .. KILA MTUA AJIHADHARI MWENYEWE.. “Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. ” - Mwanzo 2:18 “Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume. ” - 1 Wakorintho 11:9 KILA MWANADAMU ANAPOVURUGA MPANGO WA MUNGU ZIPO - CONSEQUENCES!!! Tuwe macho, au tuwe tayari kukabiliana nazo...

  • @peterenos2627
    @peterenos2627 2 дня назад

    Apostle is not Missionary and vice versa

  • @peterenos2627
    @peterenos2627 2 дня назад

    This is purely world teachings and not Godly doctrine. You are misleading the Bible doctrines.

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 2 дня назад

    Amen wachawi wote wafe

  • @PaulWarui-te3jj
    @PaulWarui-te3jj 2 дня назад

    kanisa ni mwili wa kristo si la mtu mume au mke .sisi sote ni watenda kazi lakini ukosefu wa ujazo Roho ni shida kubwa .akisha kuja Roho atawafundisha mengi na mtafanya zaidi yangu .waefeso 4 Alipo paa aliteka mateka wengine wakawa mitume .wengine manabii,wengine walimu wengine ,wengine wachungaji na wengine wainjilsti .Teresia wairimu ni wa ume wangapi waweza kumfikia africa mashariki? Huduma yake imezaa wanaume mashujaa kama kimani william na wengine wengi.Wanaume wakilala huduma ya Mungu haiwezi si mama .Hata mawe yatamuimbia Mungu.ukinyenyekea Mungu ata kuinua .Furahini na muwatie moyo watendakazi wote.wakike na kiume maana hii si kazi ya ukoo.

  • @anethphilbert229
    @anethphilbert229 2 дня назад

    Amina pastor.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 2 дня назад

    Mzee wangu nakuomba mshikamane mchungaji mbalikiwa mwakipesile mnajenga nyumba moja Mungu ni mmoja

  • @user-wy4yn2xi3n
    @user-wy4yn2xi3n 2 дня назад

    Upo Vizuri

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 2 дня назад

    BWANA YESU KRISTO aliye hai akubaliki sana kwa mahubiri yako ni matamu mno kwa neno la MUNGU ubarikiwe sana sana

  • @GraceNgwanda
    @GraceNgwanda 2 дня назад

    Kama wewe mchungaji siku hizi hawapo ,wasema kweli hamna.

  • @SerahWanjiru-t2o
    @SerahWanjiru-t2o 2 дня назад

    Nitumie namba ya simu

  • @user-sp2pp7ih5y
    @user-sp2pp7ih5y 2 дня назад

    Wabarikiwe watt wetu

  • @fedrickyohana7433
    @fedrickyohana7433 2 дня назад

    Hakika mtumishi amenijenga jinsi gan ya kutafuta ufalme wa mungu

  • @maryannaedward7764
    @maryannaedward7764 2 дня назад

    Hallelujah ❤Thank you Jesus

  • @user-cs2ud6id9e
    @user-cs2ud6id9e 2 дня назад

    Imependeza sana mbarikiwe

  • @ElishaDaniel-ps9og
    @ElishaDaniel-ps9og 2 дня назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @TabitaKibona-hq6cx
    @TabitaKibona-hq6cx 3 дня назад

    👏👏👏👏

  • @annapella5099
    @annapella5099 3 дня назад

    Mungu aendelee kukutia nguvu dadangu

  • @MaikoShija-vn7du
    @MaikoShija-vn7du 3 дня назад

    ❤ amenii

  • @TabitaKibona-hq6cx
    @TabitaKibona-hq6cx 3 дня назад

    aminaaaaaaa

  • @user-gq6kz9lv5p
    @user-gq6kz9lv5p 3 дня назад

    I am blessed

  • @gracemutheu3717
    @gracemutheu3717 3 дня назад

    Hakuna kanisa la mwanamke ambalo Lina simama Kwa utakatifu wa Mungu shetani anajua udhaifu wa mwanamke.

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 3 дня назад

    Anafundisha uongo mwingi sana mawazo yako

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 3 дня назад

    Herminutics anayoifundisha haiwelewi kabisa usitowe tafsiri zako ukaingiza ndani ya biblia

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 3 дня назад

    Herminutics anayoifundisha haiwelewi kabisa usitowe tafsiri zako ukaingiza ndani ya biblia

  • @MwaminiMuumbaji
    @MwaminiMuumbaji 3 дня назад

    Amen

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs 3 дня назад

    Maajabu. Sasa huyu profesa wenu, amesema mungu wa kike "atemi" aliweka wanawake mbele. Mtume Paulo akayakosoa na kuweka haya ya leo katika Biblia. Swali ni je, profesa... uko wapi? Paulo yuko sawa ama "atemi"?

  • @SamwelMagala
    @SamwelMagala 4 дня назад

    Amieli ushuhuda wako umenitoa machoz

  • @TabitaKibona-hq6cx
    @TabitaKibona-hq6cx 4 дня назад

    aminaa sanaa 🙏🙏

  • @jimmymwashambwa7364
    @jimmymwashambwa7364 4 дня назад

    Kweli siku hizi Kuna Kila aina ya mitindo kheri kama wachunga wangefanya semina lakini Kila mtumishi kuhubiri kwenye kanisa lake TU.

  • @TabitaKibona-hq6cx
    @TabitaKibona-hq6cx 4 дня назад

    aminaaaaaaa

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 4 дня назад

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk 4 дня назад

    Kanisa langu pendwa 😢😢😢❤❤❤

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 4 дня назад

    Nawapenda sana katika BWANA